Uncategorized

ZARI YATILIANA SAINI NA KAMPUNI YA COSTAL BIOTECH LIMITED

Katika kuimarisha mashirikiano ya kiutendaji baina ya serikali na sekta binafsi, TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO ZANZIBAR (ZARI), imeingia makubaliano (MOU) na kampuni ya COSTAL BIOTECH LTD kufanya tafiti mbalimbali zitazosaidia kuongeza thamani katika kilimo. Makubaliano hayo yatahusisha kuzifanyia tafiti shughuli za kilimo, kujenga uwezo, na kutoa aina mpya za mazao (mbegu), ili kuongeza uzalishaji […]

ZARI YATILIANA SAINI NA KAMPUNI YA COSTAL BIOTECH LIMITED Read More »

Mkurugenzi pamoja na Mafisa wa ZARI washiriki maonesho ya siku ya chakula dunia yakifanyika kisiwani Pemba

Baadhi ya Maafisa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar, Kisiwani Pemba, akiwemo Mkurugenzi Mkuu DR MUHAMMED DHAMIR KOMBO, kushiriki Katika ufunguzi wa Maonesho wa Siku ya Chakula duniani pamoja na kuskiliza hotba fupi iliyotolewa na mgeni rasmi ambae ni Makamo wa kwanza wa Raisi Mh Othman Masoud.

Mkurugenzi pamoja na Mafisa wa ZARI washiriki maonesho ya siku ya chakula dunia yakifanyika kisiwani Pemba Read More »

WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, amewataka watendaji wa Wizara, Idara na Taasisi

WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, amewataka watendaji wa Wizara, Idara na Taasisi zilizomo katika wizara hiyo kutekeleza majukumu yao ipasavyo ili kuongeza ufanisi. Rai hiyo ameitoa huko katika Kikao na watendaji hao kilichofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Maruhubi, nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Shamata alisema lengo la kikao

WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, amewataka watendaji wa Wizara, Idara na Taasisi Read More »

ZARI YAFANYA UTAFITI WA MBEGU YA MUHOGO ILI KUKABILIANA NA ATHARI YA MARADHI YA MICHIRIZI YA KAHAWIA

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar ZARI kwa kushirikiana na Taasisi ya kimataifa ya Mazao ya Joto imefanya Tafiti za Tathmini mbegu bora za muhogo ili kukabiliana na athari za maradhi ya michirizi ya kahawia ya muhogo Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar Dkt. Mohamed Dhamir Kombo ameeleza hayo huko Kizimbani Wilaya

ZARI YAFANYA UTAFITI WA MBEGU YA MUHOGO ILI KUKABILIANA NA ATHARI YA MARADHI YA MICHIRIZI YA KAHAWIA Read More »

WAZIRI SHAMATA AWATAKA WATAALAMU WA TAASISI YA ZARI NA ZALIRI KUJENGA MASHIRIKIANO

Wataalam wa Taasisi ya Utafiti wa kilimo Zanzibar (ZARI) na Taasisi ya Utafiti wa mifugo Zanzibar (ZALIRI) wametakiwa kujenga mashirikiano ya pamoja katika kutoa mashirikiano mazuri ya matokeo ya utafiti ili yaweze kuwafikia walegwa kwa wakati Waziri wa kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Shamata Shaame Khamis ametoa rai hiyo huko katika Ukumbi wa maabara ya

WAZIRI SHAMATA AWATAKA WATAALAMU WA TAASISI YA ZARI NA ZALIRI KUJENGA MASHIRIKIANO Read More »

WAZIRI WA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO MHE. SHAMATA SH. KHAMIS ASEMA AMANI NDIO MSINGI WA MAENDELEO

Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo imesema Amani katika nchi ndio msingi wa maendeleo wa kua endelevu katika kuleta mabadiliko katika sekta ya kilimo hususan kwa Upande wa Bara la Afrika Waziri wa Wizara hiyo Mheshimiwa Shamata shaame khamis aliyasema hayo huko Katika Ukumbi wa Wizara hiyo Maruhubi wakati alipokua akifungua kikao cha majadiliano

WAZIRI WA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO MHE. SHAMATA SH. KHAMIS ASEMA AMANI NDIO MSINGI WA MAENDELEO Read More »

Welcome to Zanzibar Agricultural Research Institute!

X
Scroll to Top